Apartment & nyumba
Tunasimamia majengo na vyumba vya kukaa kwa usalama, mikataba wazi na ukusanyaji wa kodi wa kitaalamu.
Real estate · Apartment · Airbnb · Nyumba
Tafuta nyumba, apartment, fleti na Airbnb za kuaminika Mapinga, Bagamoyo, Pwani na Dar es Salaam. Shays Estate / Shays General Investment — real estate na usimamizi bora Tanzania.
Tunasimamia majengo na vyumba vya kukaa kwa usalama, mikataba wazi na ukusanyaji wa kodi wa kitaalamu.
Vitengo vya Airbnb vinafuatiliwa kwenye mfumo wetu — usafi, booking na matengenezo yanaonekana ofisini.
Chini ya Shays General Investment Company Limited — TIN 142-195-437 — ofisi Mapinga, Pwani.
Mbweni Malindi · Apartment / nyumba
700,000 TZS/mwezi
Boko Basihaya, Njia ya Chasimba — mita 50 kutoka Bagamoyo Road · Apartment / nyumba
200,000 TZS/mwezi
Boko Basihaya, Njia ya Chasimba — mita 50 kutoka Bagamoyo Road · Apartment / nyumba
150,000 TZS/mwezi
Boko Basihaya, Njia ya Chasimba — mita 50 kutoka Bagamoyo Road · Apartment / nyumba
130,000 TZS/mwezi
Mbweni Malindi · Apartment / nyumba
Shays Estate chini ya Shays General Investment Company Limited inasimamia nyumba, apartment na Airbnb kwa viwango vya kitaalamu Mapinga, Bagamoyo, Pwani na Dar es Salaam.
Ndiyo. Tunashughulikia apartment za kukaa muda mrefu na vitengo vya Airbnb/short stay. Wasiliana ofisini kupata vyumba vilivyopo sasa.
Piga 0669 094 139 au andika info@shaysestate.com. Unaweza pia kuja ofisi Mapinga au kuangalia Google Maps: SHAYS GENERAL INVESTMENT LIMITED.
Mapinga, Bagamoyo, mkoa wa Pwani, Dar es Salaam, Tanzania kwa ujumla na mitandao ya Afrika Mashariki.
© 2026 Shays General Investment Company Limited · Kuhusu · Privacy · Login